Magonjwa na Tiba


Shinikizo la Damu (High Blood Pressure)

Shinikizo la Damu

Shindikizo la damu ndio maradhi yaliyoenea zaidi siku hizi, maradhi haya yanasababishwa na vyakula vya kisasa, Kula zaidi na kufanya kazi nyingi mno, Maradhi haya yanatakiwa yachunguzwe mara kwa mara chini ya daktari mwenye vifaa kamili.

Read More


Maradhi ya pumu (Asthma)

Magonjwa ya pumu

Maradhi ya pumu huzuka kwa sababu ya kunywea mishipa iliyozunguka sehemu za mapafu.pia huwa ni kwa sababu ya maumbile yasiyo ya kawaida katika kifua ambayo mtoto huzaliwa nayo .Na katika hali hii maradhi huanza mapema katika maisha ya mtu.

Read More


Ugonjwa wa Ukimwi (HIV/AIDS)

Dalili za ukimwi

Utafiti wa ugonjwa wa Ukimwi (HIV/AIDS) ; Tumefanya Utafiti huu toka mwaka 1991 hadi sasa tunaendelea nao

Read More


Vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo husababishwa na tabia ya kukaa na njaa kwa muda mrefu bila kula chakula . Pia husababishwa na kufanya kazi ambazo zinamfanya mtu atumie muda mrefu kufikiria jambo fulani .

Read More


Ugonjwa wa moyo

Magonjwa ya moyo

Ugonjwa wa moyo husumbua watu wengi sana.Mwendo wa moyo ni wa ajabu sana kwa kwa sababu mvuto wake hauna mwendo unaolingana.Mwendo wake huwa unabadilika .pengine hupungua au kwenda upesi.

Read More


© 2025 Shirika la Maendeleo Utafiti na Tiba Tanzania - SHIMAUTITA