Ugonjwa wa moyo

Ugonjwa wa moyo husumbua watu wengi sana.Mwendo wa moyo ni wa ajabu sana kwa kwa sababu mvuto wake hauna mwendo unaolingana.Mwendo wake huwa unabadilika .pengine hupungua au kwenda upesi.

Magonjwa ya moyo

Moyo ni kiungo cha misuli, misuli hiyo ndiyo humfanya mtu ajisikie maumivu. Mwendo wa moyo ni wa kasi zaidi wakati mtu anapokuwa na homa yoyote . Kwa watu wazima moyo hupiga  mara 90-120 kwa dakika moja, ukikuta zaidi ya mara 120 ni dalili ya kuwa na tatizo la moyo kulegea na  mtu huyo ni mgonjwa sana mfano kama mtu amepata ajali na damu zimemwagika .damu nyingi ,moyo hupiga upesi lakini nguvu ya mapigo yake huwa imepungua .Misuli ya moyo inatakiwa ifanye kazi sawa sawa ikizidiwa na mapigo husababisha maumivu makali.

Nguvu  ya mapigo ya moyo lazima yawe na nguvu kidogo .Nguvu hiyo kujitokeza sana kwa  watu wanene na huwa imepungua kwa watu waliodhoofika.  Magonjwa mengi yanabadlisha nyendo za mapigo ya moyo pia  moyo hufanya kazi  kwa kushirikiana na mapafu. Vyote  hutegemea sana

TIBA

Tiba hutolewa kama umekwisha elewa nyendo za moyo wa mgonjwa na dawa itumikayo kuchanganywa na asali hii hurekebisha mapigo yafanye kazi kama kawaida.Na udhibiti wa magonjwa mengine ni muhimu sana kama yakijitokeza,

Ukitumia dawa ya KTM  hutasikia maumivu kwenye moyo .Na moyo utasambaza damu kila sehemu ya mwili pasipo shida.Huu ni ugunduzi wa utafiti wetu katika ugonjwa wa moyo .Na umethibitika kwa kusaidia wengi.


 


© 2025 Shirika la Maendeleo Utafiti na Tiba Tanzania - SHIMAUTITA