Mikakati ya Shimautita, Waganga na Wananchi wa mwaka 2013

Mkakati wa Shirika za Maendeleo Utafiti na Tiba Tanzania (SHIMAUTITA) Mwaka 2013, Mkutano wa Waganga wa Jadi na Wananchi Wote. Katika jitihada za shimautita kufanya utafiti na tiba hapa nchini, lengo la kupanua huduma ya afya, tiba asilia kwa walengwa Tanzania tulijiwekea mikakati ya kusambaza vituo vya huduma hadi ngazi vijiji kwa kitaaluma zaidi lakini bado ni tatizo kubwa kufika .

Mara baada ya azimio la Arusha la mwaka 1967 Tanzania ndipo ilianzishwa kujenga Zahanati moja ktika kila kijiji ambapo kila Zahati ilihitajiwa kuhudumia watu wapatao 6,000 hadi 10,000. Aidha vituo vya afya vilijengwa, pia ambapo kila kituo cha afya kilitarajiwa kuhudumia watu 50,000 mbali na hayo kila wilaya ilitegemewa kuwa na hospitali yake.

Attachment: attachment Mikakati_ya_mikutano_wa_2013_Shimautita_waganga_na_wananchi


© 2025 Shirika la Maendeleo Utafiti na Tiba Tanzania - SHIMAUTITA