Vidonda vya tumbo husababishwa na tabia ya kukaa na njaa kwa muda mrefu bila kula chakula . Pia husababishwa na kufanya kazi ambazo zinamfanya mtu atumie muda mrefu kufikiria jambo fulani .
Mawazo yakizidi kupita kiasi huweza kusababisha vidonda vya tumbo.
DALILI
Mtu mwenye vidonda vya tumbo akila vitu vikali kama pilipili.tumbo humuuma sana .Vyakula vinavyosababisha gesi tumboni kama maharage humsababishaia maumivu mgonjwa .Vyakula vyenye tindikali kama ndimu au dawa kama asprin nazo pia husababisha maumivu makali tumboni mwa mgonjwa .Vyakula vya moto sana au baridi sana pia husabisha maumivu makali tumboni mwa mgionjwa
TIBA.