Viongozi na Watumishi, Shirika linaongozwa na Mkurungezi Mtendaji, pia lina Idara kuu tatu ambazo ni :- • Idara ya Mipango,fedha na utawala, • Idara ya utafiti,madawa na uhusiano, • Idara ya tiba.
Dr. Sinja C. Machokos - Mkurugenzi Mtendaji
Shirika linaongozwa na Mkurungezi Mtendaji, pia lina Idara kuu tatu ambazo ni :-
-
Idara ya Mipango,fedha na utawala.
-
Idara ya utafiti,madawa na uhusiano.
-
Idara ya tiba.
Idara hizi zinaongozwa na kurugenzi Mkuu wa Shirika.Viongozi wa shirika kwa vyeo na majina yao ni kama ifuatavyo:-
-
MKURUGENZI MTENDAJI - DR. MACHOKO C. SINJA
-
MKURUGENZI WA FEDHA - GERADIA AFRIKANUS
-
MKURUGENZI NA UTAFITI, MADAWA NA UHUSIANO - THOMASI BWASABHA.
Dr .Machakosi C. Sinja ni Mkurugenzi Mtendaji, pia ni mganga mkuu wa tiba asili na ndiye anayeongoza Idara ya Tiba asili ,akisaidiwa na Thomas Bwasabha.
Aidha shirika lina waganga wasaidizi na wakunga .Orodha kamili ni kama ilivyoorodheshwa kwenye jedwali la watumishi wa shirika.
VIONGOZI NA WATUMISHI WA SHIMAUTITA
-
BODI YA WAKURUGENZI.
-
Mkurugenzi mtendaji Dr,Machakos C. Sinja
-
Mkurugenzi wa fedha ,mipango na utawala Gedaria Afrikanus
-
Mkurugenzi wa utafiti,madawa na uhusiono Thomasi Bwasabha
-
Mkurugenzi wa Tiba (Mganga mkuu) Dr. Machakos C. Sinja
-
WATUMISHI WENGINE
MGANGA MKUU MSAIDIZI
THOMASI BWASABHA
MASUDI SHABANI
JUMANNE FUMAWICHA
WAGANGA WASAIDIZI
ZAITUNI .J. MAKONGORO
MAGURU KUNJU
ROZI HAMISI
MGETA KAHALE
DEO CHUMA
ZAITUNI JUMA
MAFURU KATIKIRO.
MAIMUNA MAKARANGA
MASATU MAGAFU.
WAUGUZI
NYANGETA MANYAMA
ROZA BUNINI
MGALA HAMISI
HALIMA GULANKA.
WAKUNGA
PENINA HAMISI
NYAMBWEGI. NGEREJA.
NYAKULIMA MANYAMA