Utafiti wa ugonjwa wa Ukimwi (HIV/AIDS) ; Tumefanya Utafiti huu toka mwaka 1991 hadi sasa tunaendelea nao
MAMBO TULIYOGUNDUA
Upungufu wa kinga mwilini ambao husababisha maradhi mbalimbali kusongamana mwilini au magonjwa nyemelezi.
DALILI ZA UKIMWI (HIV/AIDS)
-
Malaria
-
Kuhara
-
Kifua kikuu
-
Magonjwa ya ngozi,
-
Mkanda wa jeshi,
-
Kubabuka midomo,
-
Kuchanganyikiwa kwa akili,
-
Kupoteza uzito
-
Kukosa hamu ya kula chakula,
-
Kusumbuliwa na maradhi ya miguu,
-
Nywele zinabadilika na kuwa dhaifu,
-
Vidonda vya koo,vidonda vya ulimi,
-
Damu inaganda mwilini na kuwa nzito,
-
Kukunjamana kwa ngazi,
-
Majipu ya mara kwa mara ,
-
Kushambuliwa na vidonda sehemu za siri,
-
Kizunguzungu kila wakati
-
Baridi ya kila wakati
-
Hizo ni dalili za UKIMWI.
TIBA.
-
Kazi ya kwanza tunayofanya ni kuongeza kinga mwilini kwa kutumia dawa aina ya MK ambayo huzalisha CD4 kwa haraka
-
Tunapambana na homa za mara kwa mara kwa kutumia dawa za BG zitokanazo na mitishamba.
-
Tunamuongezea mgonjwa damu mwilini kwa kutumia dawa mbili mchanganyiko, ambazo ni M+lSR.Dawa hii huzalisha damu kwa wingi mwilini mwa mgonjwa.
-
Kwa kupambana na kifua tunatumia dawa ya MDLS hii itamsaidia mgonjwa maradhi ya kifua kama kukohoa. Kichomi cha kifua ,kubana mbavu.
-
Kuzuia kuharisha tunatumia dawa aina ya KJF. Dawa hii huzuia kuhara kwa muda mfupi tu.
-
Kukausha vidonda na kupambana na magonjwa ya ngozi tunatumia dawa ya MP ambayo imechanganywa na mafuta ya ngo’mbe .Hutumika kupaka kutwa mara mbili.ndani ya mwezi mmoja.
-
Kukausha vidonda vya mdomoni na kooni tunatumia dawa ya ASCV ambayo ina utajili mkubwa wa vitamin C mgonjwa atakunywa kikombe cha chai kimoja kutwa mara tatu.ndani ya miezi miwili.
-
Mgonjwa anatakiwa ale vyakula vyenye protini na vitamini kwa wingi.
-
Dawa zetu zinaongeza hamu ya kula, ni lazima mgonjwa apate chakula cha kutosha na muda wa kupumzika ,la sivyo ataathirika zaidi
-
Dawa ya IKAKAUMBA inaongeza siku za kuishi kwa kunywa kutwa mara tatu na kula vizuri.
MAFANIKIA YETU:Wagongwa wengi waliotumia dawa zetu hasa mkombozi.wamekuwa na maendeleo mazuri zaidi na afya zao ni zinaridhisha na CD4 zao zinapanda kwa haraka zaidi, bado tunaendelea na utafiti zaidi ili kufikia kiwango cha katibu na kumaliza tatizo hili kabisa.