NIMR yasisitiza kuendeleza Tiba Asilia kwa ajili ya Matumizi ya Binadamu

Mtafiti Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt. Hamisi Malebo akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani) dawa ya inayotafitiwa na taasisi hiyo kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa UKIMWI iliyochakatwa kutoka ungaunga na kuhifadhiwa kwa kisasa.

NIMR

Mtafiti Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt. Hamisi Malebo (kushoto)akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusu Uendelezaji wa Tiba Asilia kwa Ajili ya Matumizi ya Binadamu katikati ni Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti kutoka Taasisi hiyo Dkt. Julius Massaga na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi . Zamaradi Kawawa.

NIMR
Mkurugenzi wa Kuratibu na Kukuza Utafiti kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt. Julius Massaga(katikati) akIzungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Uendelezaji wa Tiba Asilia kwa Ajili ya Matumizi ya Binadamu, kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari jana Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mtafiti Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili kutoka taasisi hiyo Dkt. Hamisi Malebo na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi Zamaeadi Kawawa.Picha Zote na Hassan Silayo-MAELEZO

Source:

http://www.dullonet.com/

© 2025 Shirika la Maendeleo Utafiti na Tiba Tanzania - SHIMAUTITA