Yapasa mtu kuvielewa viungo vilivyohusika na uzazi kabla ya kutoa tiba .Hii ni kwa jamii yote inayohusika.
Mfumo wa uzazi
Kazi ya viungo ya uzazi (mfumo wa uzazi ) ni kuumba wanadamu wapya .Kazi hii hufaulishwa kwa njia ya muungano wa yai la kike [female agg cell ovary] na mbegu ya kiume(male cell or spermatozoon).
Viungo ambavyo hutumika na kufanya viungo vya uzazi vina kazi zifuatazo
Kwa upande wa mwanamke:
Kwa upande wa mwanaume:
NB, Muungano wa mbegu za kiume na yai la kike hufanywa katika mirija ya falopia .Hapo unatokea muungano.Yai hilo husukumwa polepole kuelekea chini kwa kujikunja na kujikunjua kwa misuli ya falopia hadi kuingia katika mji wa mimba .
Mji wa mimba ni kiungo ambacho kimetengenezwa maalum kwa kutunza na kukuza kiumbe kilichoumbwa .Kiumbe hicho hujishikiza kwenye ukuta wa mji wa mimba, kupitia ukuta huo, kiumbe hicho hupata chakula na hewa, vyote hivyo vikiwa vinaletwa na kapilari za mama mjamzito.
Ovari
Ovari za mwanamke hali kadhalika zina tezi za fahamu.Matezi hayo hutengeneza homoni mbili yaani (estrodial ) na (progesterone ). Kazi ya kwanza ya ovari yaani oestrodial:
Kazi ya homoni ya pili ya ovari yaani (progesterone)
DALILI ZA UGONJWA WA KASWENDE.
Kidonda ambacho kinatokea kwanza sehemu za siri,kinaweza kuwa hakiumi wala hakiwashi,inategemea sana pale kilipo .kikitokea juu ya ngozi ya sehemu za siri, huanza kuonyesha uvimbe kama mtu aliyeungua na maji ya moto .Wakati mwingine hutokea kama chunusi na
kinaweza kuonekana kama kidonda wazi au kipele.Hii husababishwa na kujamiana na mtu aliye na ugonjwa huo.
Wadudu wa kaswende hupenda chembe chembe nyekundu za damu .Wadudu wa kaswende hupendelea kuzaliana kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke, anaweza asijielewe kama ana ugonjwa, labda akiwa kwenye siku zake .Vidudu vina uwezo wa kusambaa mwili mzima kama damu ni dhaifu.Zaidi ya yote wadudu hao hupendelea kula ovari mbili zilizoko ndani ya uke wa mwanamke, wadudu hawa hupendelea kula gladi za kiume na mirija ya mbegu za uzazi, ugonjwa huu ni hatari sana kwa binadamu.
Ushauri ufuatao ni muhimu;
Vyakula vyenye vitamini E;
Kula vyakula vyenye vitamini E ambavyo hupatikana katika mboga za majani ,mimba ya nafaka kama mtama, ulezi, uwele na ufuta.Vyakula vingine ni kama maziwa,nyama,mayai,samaki wabichi na wakavu.
Kazi ya vitamini Eni : kusaidia viungo vya uzazi vifanye kazi yake sawasawa.
Matokea ya upungufu wa vitamini E ;
Ukikosa vitamini E, utapata hitilafu kwenye ukuaji wa viungo vya uzazi, kwa wanaume uwezekano wa kuzaa ni mdogo na nguvu zake za kiume hupungua na kuwa dhaifu.Kwa upande wa mwanamke uwezo wa kushika mimba unakuwa mdogo.
TIBA.
Dawa za Uzazi.
Hupatikana kwenye vituo vyetu vilivyopo Musoma vijijini, Kiriba Kliniki,Mwanza Bwiru kijijini Shimautita Kliniki, Kigoma Mwanga kizota Shimautita Kliniki,Dar es salaam iko manispaa ya Temeke Mbagala kuu mtaa wa Mgeninani zinapogeuzia daladala.Dawa za uzazi ziko za aina nyingi, hupatiwa mgonjwa kulingana na tatizo lake.