Ugonjwa wa nguvu za kiume unatokana na kiungo cha mwanaume kinaposhindwa kufanya kazi vizuri katika tendo la ndoa, hii hutokana na kiungo hiki kuwa laini na kusababisha kushindwa
kusisimika yaani kudinda na hivyo kuwa vigumu kuingiza mbegu za kiume ndani ya uke wa mwanamke kwa urahisi.
Baadhi ya ugonjwa huu huanza tangu utotoni, nayo husababishwa na kasoro za kimaumbile, hali hii ikigundulika mapema hutibika kwa urahisi, isipogundulika mapema hukomaa na kufanya kazi ya utabibu kuwa ngumu zaidi.Mgonjwa aliye na hali hii huitwa hanithi.
Pia sehemu kubwa ya maradhi haya hutokea ukubwani, nayo husababishwa na sababu nyingi zikiwemo:-
-
Baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kuingiliana kwa tendo la ndoa na mwanamke,husababisha kulegea kwa nguvu za kiume.
-
Ulevi wa kupita kiasi hupunguza hisia za tamaa ya kuingiliana na mwanamke kwani atakuwa na uchovu wa mwili wakati wote.
-
Matatizo ya kifedha na umasikini, huwaathiri baadhi ya wanaume wenye silka ya kujiona, na wakashindwa kutimiza hisia za mapenzi kwa hofu ya kudaiwa fadhila.
-
Mazoea ya muda mrefu kupita kiasi, pia husababisha woga wa kufanya tendo la ndoa au kutokuwa na hisia za mapenzi na kusababisha upungufu wa nguvu za kiume .
-
Mazingira yasioridhisha wakati wa tendo la ndoa ,husababisha mshtuko wa mwili na kufanya nguvu za kiume kulegea na kushindwa kusimama kwa uume.
-
Kutairi watoto wadogo punde tu baada ya kuzaliwa, huathiri mishipa ya kiungo cha nguvu za kiume.
TIBA .
-
Dawa itwayo RT inatibu vizuri ugonjwa huu.Dawa hii inachemshwa kwa muda wa nusu saa nakuipuliwa,baadaye inachujwa vizuri .Mgonjwa atakunywa nusu kikombe cha chai kutwa mara tatu kwa muda wa siku saba
-
Dawa itwayo MBK itasagwa nakuwa unga, kasha kuchanganya na maji ya chai mgonjwa atatumia kijiko kidogo cha chai kutwa mara mbili,muda wa siku thelathini tu.