Ugonjwa wa Kisukari

Ugonjwa wa kisukali humpata mtu, endapo kiungo cha mwili kiitwacho kongosho kutofanya kazi zake vizuri.Kongosho ina kazi mbili muhimu kwa maisha ya binadamu.

Dalili za Ugonjwa wa Kisukari
  1. Kutoa maji yatumikayo kusaga chakula.
  2. Kutoa homoni iitwayo insulin.Homoni hii huamua kiasi gani cha sukari kiwekwe akiba katika mwili kama (elikojen) kwa matumizi ya baadaye na kiasi gani kitumiwe ili kuupatia mwili nguvu ya kumudu shughuli mbalimbali.

Hitilafu yeyote katika tezi za kongosho huweza kusababisha upungufu wa homoni ya insulin. Ukosefu wa  insulin hufanya sukari nyingi kutotumiwa na mwili au kurundikana katika damu. Hali ya namna hii husababisha ugonjwa wa kisukari ujulikanao  kama Diabetes.Kumbuka kuwa homoni ni  muhimu sana kwa ukuaji na ufanyaji kazi wa viungo vya mwili..Magonjwa mengi hujitokeza endapo kama kuna kasoro katika matezi.Aidha magonjwa hutokea mara tu panapokuwepo kasoro katika matezi.

DALILI.

Mtu aliyeathiriwa na ugonjwa huu mara nyingi hujisikia legevu, mwili kuchoka na kujisikia njaa hata kama unamuona mnene kimaumbile.Pia husikia maumivu mwili mzima  na wakati mwingine husababisha mapigo ya moyo kubadilika sana.

TIBA

Tumia dawa ya mitishamba inayoitwa MJC na LYK.Dawa hii hurekebisha kongosho na kuifanya ifanye kazi yake vizuri.

  • Husaidia kurekebisha hali ya sukari mwilini, inatibu na  kuponya kabisa kwa muda wa mwezi mmoja tu.
  • Pia hurekebisha mwenendo wa damu mwilini na kuondoa sukari yote iliyozidi katika damu.

MATUMIZI

Mgonjwa apatiwe kijiko kikubwa asubuhi , mchana na jioni kabla ya kula chakula.

Mgonjwa atatumia dawa hii ndani mwezi mmoja na nusu na pia atumie dawa na kupima hospitalini

TAHADHARI

  • Mgonjwa apime baada ya wiki moja.Atakapoona sukari imerudi katika hali yake ya kawaida, aache kutumia dawa.
  • Dawa iwekwe sehemu ya baridi kiasi, apunguze kula vyakula vya sukari  mfano miwa, wali ,na vyote vinavyohusiana na sukari.

 


© 2025 Shirika la Maendeleo Utafiti na Tiba Tanzania - SHIMAUTITA