Mkakati wa Shirika za Maendeleo Utafiti na Tiba Tanzania (SHIMAUTITA) Mwaka 2013, Mkutano wa Waganga wa Jadi na Wananchi Wote. Katika jitihada za shimautita kufanya utafiti na tiba hapa nchini, lengo la kupanua huduma ya afya, tiba asilia kwa walengwa Tanzania tulijiwekea mikakati… Read More
Attachment:Mtafiti Mwandamizi na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Uendelezaji wa Tiba Asili kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR) Dkt. Hamisi Malebo akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani) dawa ya inayotafitiwa na taasisi hiyo kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa UKIMWI… Read More
Miaka ya hapo katikati kutokana na kutekwa na utamaduni wa Kimagharibi, Watanzania walijikuta wakidharau kutumia dawa za asili na kutukuza zile za kigeni.
Read MoreBaraza la Waganga Watafiti na Tiba Asilia Tanzania (BAWATA), limetoa mwito kwa wataalam wa fani ya tiba asilia kuanzisha mashamba yatakayopandwa mimea inayotumika kama dawa asilia ili kuilinda isipotee.
Read MoreWizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema ipo haja siku zijazo kuanzishwa kwa vyuo vya elimu ya tiba ya asili na tiba mbadala ili kuwasaidia wananchi kupata huduma za afya kwa usalama zaidi.
Read More